header

nmb

nmb

Sunday, January 1, 2012

Ubishoo wamponza Msanii Diamondi alia mwakampya Lupango Baada ya kuharibu zana za Paparazi.Aachiwa mchana huu.Yuko safarini kwenda Dar!!

Msanii Diamond ameruhusiwa kudhaminiwa leo majira ya saa 6 mchana na kuondoka kuelekea jijini Dar es Salaam kufanya uzinduzi wa Albamu yake,msanii huyo aliwekwa mahabusu ya kituo cha polisi mjini Iringa kwa tuhuma za kumpiga na kuharibu vitendea kazi vya mmiliki wa mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com uwanja wa Samora mjini Iringa

No comments:

Post a Comment