header

nmb

nmb

Sunday, January 1, 2012

Mwanahabari mwenzetu kuzikwa leo jijini. Kwa sasa Tuko nyumbani kwa kakayake Kipunguni Ukonga Dar es salaam tunajiandaa kuaga!!

Mwenyekiti wa prhabari.blogspot.com Bw. Spear Patrick akitia Saini kitabu cha Maombolezo cha Aliyekuwa Mtangazaji wa BBC Bw. Joha Ngayoma aliye fariki siku moja kabla ya kuuaga mwaka 201o.Mungu aiweke roho ya Marehemu Pema peponi aaaaaaaaaaaaaaaamennnnnn

Familia ya Marehemu Ngayoma
Baadhi ya Ndugu jamaa na marafiki walio hudhuria kuagwa . Kwa sasa tuko hapa kipunguni B nyumbani kwa Kaka mkubwa

No comments:

Post a Comment