header

nmb

nmb

Thursday, January 19, 2012

MTOTO WA MIAKA 9 AJERUHIWA KWA MIJEREDI NA SHANGAZI YAKE!!
Picture
Binti huyu Jina tunalo amejeruhiwa Vibaya na mtu anaye daiwa kuwa ni shangazi yake aliye tambuliwa kwa jina moja la Anna ambaye ni Mwalimu katika manispaa ya Moshi mkoani kilimanjaro. Kwa mujibu wa mashuhuda wamedai kuwa Bi Anna (28) amekamatwa na Polisi kwa mahojiano zaidi. Kukamatwa kwa mama huyu kunatokana na Ushilikiano wa akina mama wanao ishi kalibu naye baada a kutoa taarifa.Kwasasa Binti huyu yupo katika Hospitali akijiunguza haliyake.Na Mwandishi wetu Moshi

No comments:

Post a Comment