header

nmb

nmb

Thursday, January 19, 2012

MKUTANO WA MADAKTARI KUDAI HAKI ZAO HUU HAPA!!


Rais Mteule wa Cahama cha Madaktari Tanzania (MAT),Primus Saidia akionesha vitabu vya Serikali vinavyoelezea haki za wafanyakazi wa Taasisi za Serikali wakiwemo madaktari, jana wakati wa mkutano mkuu wa madaktari nchini, Dar es Salaam leo , ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai malipo yao.
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akifafanua jambo wakati wa mkutano mkuu wa madaktari nchini, Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai malipo yao. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.


Baadhi ya madaktari waliohudhuria mkutano huo wa kudai pia maslahi zai
Baadhi ya madaktari wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akifafanua jambo katika mkutano mkuu wa madaktari nchini, Dar es Salaam jana, ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai malipo yao. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment