header

nmb

nmb

Monday, January 2, 2012

MKUU WA MKOA WA DSM ASEMA HAKUNA SIASA KTK BOMOABOMOA,NI BAADA YA KUTIWA ALAMA!!





Mmoja wa maofisa wa kutoka Manispaa ya Ilala, akiweka alama katika moja ya nyumba eneo la Jangwani.




Mama mkazi wa Jangwani, Dar es Salaam eneo lililokumbwa na mafuriko hivi karibuni, akiwa na huzuni baada ya nyumba yake kuwekwa alama ya kubomolewa na wakati wa mchakato wa kuhakiki nyumba hizo uliokuwa unafanywa na Maofisa wa Manispaa ya Ilala

No comments:

Post a Comment