header

nmb

nmb

Friday, January 27, 2012

FRANCIS CHEKA KALAMA NYILAWILA WAPIMA UZITO ,PAMBANO KESHO!!
Bondia Kalama Nyilawila (kushoto) akitunishiana misuri na Francis Cheka baada ya kupimauzito leo kwa ajiri ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kesho.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment