header

nmb

nmb

Tuesday, January 10, 2012

BALAZA LA MITIHANI LA TAIFA LAZINDUA HUDUMA YA ULIPAJI WA ADA KWA MASHINE ZA SELCOM!!


Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma yakulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na

Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.9Picha na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment