Mmoja wa wasanii waliotumbuiza ukumbini hapo akionyesha mazingaombwe, na hapa akiwa amemlaza hewani mwenzake aliemtia usingizi na kupaki akiwa ameegemea kichwa tu. Msanii huyo akionyesha kumlaza mwenzake kwenye viti. : … akiwa amemlaza katika ubao uliokuwa juu ya viti kabla ya kuvitoa.
No comments:
Post a Comment