header

nmb

nmb

Friday, December 16, 2011

*MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO ZA SUPERBRADS KWA MAKAMPUNI YALIYOFANYA VIZURI MWAKA 2011, TDL KUPITIA KINYWAJI CHA "KONYAGI" YANG'ARA

Mkurugenzi Mkuu wa TDL(KONYAGI) akitoa hutuba ya Shuklani kwa waandaaji na Makamu wa Rais






Wafanyakazi wa TDL Wakiongozwa na Mkurugenzi mkuu Mtendaji Mr David Mgwassa wakipokea tuzo toka kwa Makamu wa Rais


Baadhi ya wafanya kazi wa TDL wakipiga picha ya pamoja kwa fufaha ya Ushindi










Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni wa Simu za mkononi Vodacom, Mwamvita Makamba, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer (kulia) ni Ofisa Matangazo wa Vodacom, Joseline Kamuhanda.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Ephraem Mafuru.


Wana Konyagi hao




Joseph Kusaga, akitoa neno la Shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo.


b

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Meneja Masoko wa Kampuni ya The Guardian Ltd, Simon Marwa, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer. (kushoto) ni Emmanuel Matondo (kuia) ni Tonny Madatta



Wanamuziki wa Bendi ya Borabora Sound, wakitoa burudani wakati wa hafla hiyo




Msanii wa Kundi la Wanne Star, akitoa burudani ya aina yake ambapo aliwasha Sigara kwa kutumia miguu na kisha kuivuta kwa miguu












Hapa akianza kuivuta kwa kuishika kwa miguu.





Baadhi ya warembo waliokuwa wakitoa huduma katika ukumbi wa shughuli hiyo.


No comments:

Post a Comment