header

nmb

nmb

Monday, November 14, 2011

Wabongo kushindwa kupiga sim,kuandika Emailau sms, kumeipotezea nafasi ya kushinda Mlima KIlimanjaro.Hii ni pamoja na Makampuni ya sim Kutoa Ofa.

Image



MLIMA Kilimanjaro uliopo nchini na ambao ni mrefu kupita yote barani Afrika, umetupwa nje ya orodha ya Maajabu Saba mapya ya dunia yaliyotangazwa juzi usiku. Taarfia hiyo ilitolewa juzi na Eamonn Fitzgerald ambaye ni msemaji wa ‘New Seven Wonders’ taasisi iliyokuwa ikiratibu upigaji kura kwa vivutio vipatavyo 28 dunia nzima, vilivyoingia fainali za ‘Maajabu Saba Mapya ya Asili.



Fitzgerald alibainisha upigaji hafifu wa kura kutoka Tanzania ulishindwa kuupa nguvu mlima Kilimanjaro ambao hata hivyo ulikuwa ukikusanya mamilioni ya kura kutoka nchi zingine za Ulaya na Amerika kwa zaidi ya asilimia 95. Fitzgerald ameutaja ‘Mlima Meza’ (Table Mountain) ulioko katika Jiji la Cape Town, Afrika Kusini kuwa miongoni mwa maajabu saba mapya ya dunia.



Mlima Meza na Kilimanjaro ndivyo vilivyokuwa vivutio pekee kutoka barani Afrika vilivyofanikiwa kuingia kwenye fainali ya mbio hizo za kimataifa. Hivi

No comments:

Post a Comment