header

nmb

nmb

Thursday, November 10, 2011

MBOWE KIZIMBANI

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Mbowe, amepandishwa kizimabani leo mjini Arusha na kuunganishwa katika kesi inayowakabili wenzake 27, Kwa mashitaka ya kufanya mkutano na maandamano isivyo hahali.

No comments:

Post a Comment