header

nmb

nmb

Monday, October 24, 2011

Vodacom wamuanga Bosi wao mkoani Mbeya!!




Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (katikati) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare, anaemaliza muda wake hapa nchini, zawadi ya picha inayomuonyesha akisimikwa na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe,wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi karibuni, (kulia) Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga.


Baadhi ya wageni waalikwa walioudhuria hafla hiyo ya kumuaaga rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mareha hayupo pichani anaemaliza muda wake hapa nchini

No comments:

Post a Comment