Hii ndio tuzo ya ubora wa kimataifa wa vyakula na vinywaji iliyo tolewa na Taasisi ya Trade Leders Club ya nchini Hiapania 2011 katika Sherehe kuuubwa iliyo jumuisha wadau kutoka pande zoooote za Dunia.
Meneja Ufundi akiwa Bi Khadija Madawili na Meneja wa Fedha Bw. Mustafa Nassorowakati wa mkutano wa wana habari uliofanyika Ofisi za KONYAGI
Raisi wa Taasisi ya Trade Leaders Club. Bw.Aresenio Rodriguez akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa TDL mama Madawili aliekwenda hoko kuchukuwa tuzo hiyo
Pozzzzzzzzzz la Bi Madawili akiwa mmajuu na tuzo yake amependeza huyo
No comments:
Post a Comment