header

nmb

nmb

Monday, October 24, 2011

maadhimisho ya miaka 66 ya umoja wa mataifa (UN) na miaka 50 ya uhuru wizara ya mabo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akinusa bidhaa ya mshumaa inayotengenezwa na wajasiriamali wanaodhaminiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa wakati Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ilipofanya maadhimisho ya kusheherekea miaka 50 ya Uhuru jijini Dar es Salaam


Bi.Fatma Amour akionyesha ubunifu wake wa carpet lililotengenezwa kwa ngozi ya Mbuzi katika maodhimisho hayo yaliyofanyika Mnazi mmoja. wajasiliamali tofauti tofauti walionesha bidhaa zao

No comments:

Post a Comment