header

nmb

nmb

Monday, September 19, 2011

ZAO LA MKONGE LAKUMBUKWA



KILIMO cha mkonge mkoani Tanga kimeelezwa kupata msukumo mpya baada ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii nchini (NSSF) kuamua kujikita kufadhili huduma mbalimbali za kuimarisha uzalishaji na usafirishaji wa zao hilo.

Kupitia kwa Mkurugenzi wake Mtendaji, Dk. Ramadhan Dau, NSSF imeahidi kwanza kufufua na kuimarisha miundombinu ya kiwanda hicho cha mkoani Tanga, sambamba na kutengeneza miundombinu ya mashambani, likiwemo suala la usambazaji wa maji na barabara kwenye mashamba

habari zaidi www.globalpublishers.info
















No comments:

Post a Comment