header

nmb

nmb

Wednesday, September 21, 2011

WIZARA YA TAMISEMI NA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ZINAYAJUA HAYA!

Wanafunzi wa Shule ya Msingi huko Ludewa Mkoa mpya wa Njombe wanasoma kwenye Kanisa, Wizara husika zinayajua haya kweli ya watoto wetu ambao ni Taifa la Leo na kesho!

KAPINGAZ BLOG INASEMA "TAFADHALI CHUKUENI HATUA LA SIVYO ELIMU YA WATOTO WETU ITAENDELEA KUDIDIMIA"

No comments:

Post a Comment