header

nmb

nmb

Friday, September 16, 2011

KONYAGI: imekunja na new Innovative packaging


kinywaji kikongwe na maarufu zaidi katika ukanda wa Africa Mashariki Konyagi kwa sasa kinapatikana katika muonekano mpya wa ujazo wa 750mls.

Ujazo huo mpya umezingatia mabadiliko ya mahitaji ya soko yalipoelekea na umuhimu wa kinywaji hicho.

pamoja na pack size hiyo mpya ya Kinywaji maarufu cha Konyagi, ujazo wa zamani utaendelea kutumika kama kawaida. ujazo huo ni wa 30Mls, 50mls na 100mls.

"konyagi inanyweka na watu mbalimbali na watalii wengi kila wanapoingia Tanzania hununua kinywaji cha konyagi na watanzani wengi wanapotoka safari za nje huwapelekea wenyeji wao zawadi ya Konyagi toka Tanzania" alisema Mkurendenzi mkuu wa Tanzania Distilliries Limited.


aliongeza kuwa Konyagi inauza katika soko la Africa Mashariki yote na mabadiliko yanatokana na uelekeo wa soko na pia kwenda na wakati na sasa konyagi inafikisha miaka 40 katika soko.

"konyagi inafikisha miaka 40 wakati Tanzania inafikisha miaka 50 nna konyagi imekuwa maarufu sana kila mtu anaijua konyagi hivyo tunataka kuwa wa kwanza na tunatakakila mtu anaeshuka uwanja wa ndege atike na Konyagi mkononi" aliongeza mkurugenzi mkuu.

Muonekano mpya wa packaging hiyo umerahisishwa hata kuibeba ni rahisi zaidi ikiwa ndani ya box.

No comments:

Post a Comment