Mbunge wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Idd Azzan ameguswa na hali ya mzee Kipara na kuamua kumsaidia kiasi cha shilingi laki mbili kwa ajili ya matibabu ya miguu yanayomsumbua mkongwe huyo huyo.
Kwa watu wengine wenye moyo wa kutoa mnaombwa kumsaidia Mzee Kipara ili fedha za matibabu na matumizi madogo.
Picha kwa hisan na http://www.globalpublishers.info/
Picha kwa hisan na http://www.globalpublishers.info/
No comments:
Post a Comment