Waumini wa dini ya Kiislamu wakichagua kanzu eneo la jangwani wakati wa Sala maalumu ya kusherekea Sikukuu ya Mwezi Mtukufu wa mfungo wa Ramadhani katika dhehebu la waswali suna Dar es Slaam juzi.kanzu moja inauzwa sh 7000
Maeneo ya Jangwani leo hii, vijana wakifanya biashara ya kkuza maji kwa ajili ya kutawadha kwa wenzetu wa waumini wa waswali suna
No comments:
Post a Comment