katibu mkuu wa wizara ya Nishati na Madini David Jairo amesimamishwa tena kupisha uchunguzi wa kamati teule ya bunge baada ya uamuzi wa serikali kumrejesha Kazini kupingwa vikali na wabunge. Waziri Mkuu Pinda amelihakikisha suala hilo leo bungeni wakati akijibu swali kuhusu kiongozi huyo.
No comments:
Post a Comment