header

nmb

nmb

Wednesday, August 17, 2011

The Breakup!!!!!!1


MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Felly Kano, 'Felly', ambae alishawi pia kupitia katika mashindano ya Tusker Project Fame ameamua kuachana na mke wake aliyezaa naye mtoto mmoja.

anaweka wazi kuwa sababu kubwa ya kuweza kuachana nae ni tabia zake za uhuni kwani alimenda sana lakini tabia yake ndiyo ilisababisha achukue maamuzi hayo yakuachana naye, lakini anaamini kitendo hicho ni funzo kwake.


No comments:

Post a Comment