header

nmb

nmb

Friday, August 19, 2011

Ajali ya uso kwa uso yakatisha maisha ya mama pili!!

Wasamalia wema na askari Magereza wakibeba Mwili wa Marehemu Mama Pili tayari kwa kupelekwa Hospitali ya Amana kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Isuzu la kubeba mchanga likiwa hoi baada ya kusababishiwa ajali na daladala la J kalan lililokuwa likitoka Ferry kuelekea Gongo la Mboto wakati Isuzu ikitokea Gongo la Mboto likielekea katikati ya jiji huku likiwa limesheeni mchanga. katika ajali hiyo ambayo chanzo chake ni dereva la daladala ilisababisha kifo cha mama Pili mfanyabiashara wa samaki wa eneo la Gongo la Mboto Chama.

Daladala la J kalan likikokotwa na fisi wa mizoga eneo la tukio la ajali ukonga magerezo mida hii.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani akipima ajali huku mwili wa marehemu bi pili aliefariki katika ajali hiyo ukiwa chini ya Tipa la mchanga.

No comments:

Post a Comment