header

nmb

nmb

Thursday, July 28, 2011

Yatima mwenye kipaji cha kuimba

Suleiman Mkarambati.

NI Msanii wa kizazi kipya hana wazazi wote wawili sambamba na hilo pia ni mlemavu wa miguu ambapo aliupata katika ajali baada ya gali walilokuwa wakisafilia kugogana na lingine uso kwa uso na kusababisha ulemavu huo wa milele
Suleiman Mkarambati, amesema anawaomba wasamalia wema kujitokeza kumsaidia ili aweze kurekondi nyimbo zake ambazo tayari ameshazindika.

"Mimi ni mlemavu lakini ni yatima na kikubwa nawaomba wadau na watu wenye uwezo wajitolee kunisaidia ili niweza kuendelea kipaji changu ambacho naamini kitaweza kuinua maisha yangu ya sasa na baadaye, anamalizia.

No comments:

Post a Comment