shindano hilo litashirikisha wanyange walipatikan katika Vitongoji viwili ambapo nane wametekea Miss Sinza na watano wametokea katika mashindano ya Miss Indian Ocien.
Redds Miss Kinondoni, inatarajia kutoa wanyange watatu ambao wataiwakilisha Kanda katika fainali za Miss Tanzania.
mshindi wa kwanza anatarajia kuondoka na sh. Mil 2 na tv ya LCD ya nchi 32 ambayo imeonganishwa na king'amuzi cha Star Time.
Anasema wa pili atapata na wa tatu watapewa sh. mil 1.5 kila mmoja, wa nne na wa tano watapewa sh. 1 kila mmoja, wa sita hadi wa kumi ataondoka na sh. 500,000 wakati wengine waliosalia wataondoka na kifuta jasho cha sh. 200,000.
No comments:
Post a Comment