
THULEYA DABAS kutoka mkoani pwani
Mashindano hayo yanatarajia kushiriisha jumla ya washiriki 14 kutoka katika mikoa ya Pwani, Mtwara, Morogoro pamoja na Lindi.
Shindano hilo linatarajiwa kupambwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Dully Sykes
No comments:
Post a Comment