header

nmb

nmb

Tuesday, February 22, 2011

KESI YA VURUGU ZA ARUSHA KUHUSU CHADEMA YAUNGURUMA LEO JIJINI ARUSHA,UMATI WAFURIKA!!

Katibu wa Chadema.Dr Slaa akizungumza na wananchi walio jitokeza kusikiliza Kesi iliyokuwa ikisomwa leo asubuhi hii na kuahilishwa hadi machi 25 mwaka huu.

Sehemu ya umatiukiangalia karandinga lililokuwa limebeba baadhi ya watuhumiwa wa kesihiyi.
Katika hatua nyingine leo asubuhi ilisemekena kulifanyika maandamano makubwa kumpinga meya wa jiji la Arusha.Kwa hisani ya Blog ya jamii ya Michuzi

No comments:

Post a Comment