Mr.Mngwasa aingia kati kuokoa jahazi katika mashindani ya kujaza maji katika chupa.
Wanasaka ushindi Ilikuwa ni mashindano ya kujaza maji ktk chupa
Sasa twaweza kucheza muziki kiduchu
Ushindi mtamu Mama Resti wampangawisha
Namimi siko nyuma na my swiiiiiiiiitiiiiii mwaaaaaaaaa
hapa muziki2 Familia kivyake nami Kivyangu
Nimetoka Jiji la Mwanza kuja Kujimwanga na Wanangu mie!!
Watoto hawa ni wanani
Nango na familiayake pia walikuwapo
Oneni nyani wanangu
Bi.Mariam akiongoza kikosi kwenda kujionea wanyama
Ngamia
Vituko vya bichi! midamida kila mmoja alichunga mzigo wake.Ukinihoji alikuwa nani Sinto kwambia
No comments:
Post a Comment