NAIBU WAZIRI NA WAZIRI WAKE WA MAWASILIANO SAYANSI NA TEKNOLOJIA WARIPOTI WIZARANI LEO!!
Bi. Mary Mwangisa, Mkurugenzi wa Idara ya Utawala, Utumishi na Rasilimali Watu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia akimkabidhi ua Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb), Waziri wa Wizara hiyo mara alipowasili ofisini hapo kuanza kazi rasmi leo. Wengine wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa Wizara hiyo. Picha kwa hisani ya michuzui
No comments:
Post a Comment