header
nmb
Tuesday, November 30, 2010
WADAU WA MUZIKI NCHINI WAENDELEA KUWA JULIA HALI REMMY NA GURUMO!!
mwanamziki wa siku nyingi mzee makasy akimjulia hali mwenzie muhidini gurumo (KAMANDA) alielazwa hospital ya taifa muhimbili gurumo yupo mwaisera wodi namba moja baada ya kutoka katika chumba cha wagojwa wenye uangalizi maalumu (ICU) Wiki iliyopita Rais Kikwete pia aliwatembelea Muhimbili waliko lazwa
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment