aliyetumia usafiri wa helikopta, ukiacha JK na Dk. Slaa waliogombea urais
Mh. Nyalandu akihutubia mkutano wake wa
mwisho uliokuwa na nyomi ya maelfu ya watu wapatao 35,000. JK na daktari wake Profesa Mohamed Janabi
wakiwa na kinamama wa kijijini Msoga alipowatembelea.
JK ameendelea kuongoza katika matokeo rasmi ya urais yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambapo hadi sasa anaongoza katika majimbo 145.
Hadi jana jioni NEC ilikuwa imetangaza matokeo ya urais katika majimbo 171 kati ya 239 yaliyopo.
Matokeo hayo yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Lewis Makame kwa kushirikiana na Makamu wake, Jaji Omar Makungu, yanaonesha aliyeshika nafasi ya pili ni mgombea wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ambaye amenyakua majimbo 19.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa kwa siku tatu mfululizo mgombea wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa anafuatia akiwa anaongoza katika majimbo saba ambayo yote ni ya Tanzania Bara.

Habari Kamili. (kwa hisani ya Blog ya issamichuzi)
No comments:
Post a Comment