header

nmb

nmb

Tuesday, October 19, 2010

WATOTO WA MITAANI NA OMBAOMBA NANI ALAUMIWE!!

Mtoto ambaye mamatake ni Omba omba akiwa amembeba mtoto wa dadayake ambaye pia ni omba omba. Mtoto huyo alidai hiyo ndio kazi ya wazazi wake tangu yeye akuwe amekuwa akiwaona wakifanya kazi hiyo.

hawa pia ni watoto wa mitaani

2 comments:

  1. Hii hali si ya kufumbia macho hivi unadhani tutakuwa na taifa la aina gani baadaye? naomba kupata hata Statistics ya Ombaomba kwa jiji la Dar kama unazo nipe ninazihitaji sana.

    ReplyDelete
  2. Wapendwa mimi nimaamua kwa dhati kuangalia suala hili hasa tatizo kubwa la Ombaomba kujua wanatokea wapi na nini kinawatoa kule na kuwaleta mjini matarajio yao ni nini. Serikali ina mkakati gani kuwasaidia watanzania hawa ili waishi kama wenzao.

    ReplyDelete