Na Issa Mnally
Hali ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ali Omar Juma ikielezwa inarejea vizuri, kiwewe kinatawala kuhusu anayetajwa kufariki dunia kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, 2010.
Ingawa wagombea wenyewe hawaoneshi kutetereka kwa namna yoyote kutokana na tishio la mmoja wao kufariki dunia, lakini uchunguzi unaonesha kuwa swali la ‘nani atakufa’ linasumbua ubongo.Imetayalishwa na Gazeti la uwazi zaidi tembelea
No comments:
Post a Comment