header

nmb

nmb

Friday, October 15, 2010

SIKU MMOJA BAADA YA NYERERE DAY KUPITA WATANZANIA WATUMA MAONI PRHABARI NA KUDAI SIKU HIYO IENZIWE KWA VITENDO ZAIDI!!

Mawlimu J.K.Nyerere akinyanyua juu kibao chenye maandishi ya kiingereza yanayoelezea uhuru mkamili wa nchi ya Tanganyika huku akiwa amebebwa juujuu na wapigania huhuru wengine. Watanzania wengi walio tuma maoni siku ya Nyerere wadai Iboreshwe kwa Vitendo zaidi.

No comments:

Post a Comment