JUMUIA YA ULAYA YAENDESHA SEMINA YA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazigira Bw Richad Muyungi akifungua Mkutano ulioitishwa na jumuia ya Ulaya Kuona namna ya Tanzania inavyoweza kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi. Kulia ni Balozi wa Jumuia ya Ulaya Bw Tim Clarke na Mchumi Muandamizi Wizara ya Fedha Bw Sadiki Magwaya.(Picha:Ali Meja)
No comments:
Post a Comment