header

nmb

nmb

Monday, September 6, 2010

vodacom yaendelea kukabidhi magari 100!!

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano kwa wateja Vodacom Tanzania Aika Makidara Matiku kulia akimkabidhi funguo za gari lake Simon Kihuru mkazi wa Songea ambaye ni dereva wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma, Saimon Kihuru alishindi bahati nasibu ya "Shinda Mkoko" inayoendeshwa na kampuni ya Vodacom Tanzania, hafla ya makabidhiano imefanyika leo kwenye duka la Vodashop mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam, anayeshuhudia tukio hilo kushoto ni Meneja Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa.
Bw. Saimon Kihuru akiondoka na gari lake mara baada ya kukabidhiwa leo kwenye hafla iliyofanyika katika duka la Vodashop mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment