header

nmb

nmb

Wednesday, September 8, 2010

Mbunifu wa Mavazi nchini, Mustafa Hassanali (katikati)akiongea na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dar es salaam juu Jukwaa la Wajasirimali Wanawake Tanzania linalojulikana kama Twende litakalofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 16 mwezi huu. Wengine ni Meneja wa Vyombo vya Habari wa Kampuni ya Mustafa Hassanali Bi. Saphia Ngalapi (kushoto) na Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni hiyo, Hamis Omar.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment