header

nmb

nmb

Friday, July 9, 2010

Waumini wa kiislam waandamana Jijini kudai Mahakama ya Kadhi!!


Waislamu wakiandamana na Bango lenye ujumbe unaosomeka Tunataka Kadhi anayetambulika Kikatiba na si BAKWATA na CCM Kadhi lazima hata kwa Jihad" maandamano hayo yameanzia katika viwanja vya Mnazi Mmoja na kuishia maeneo ya Manzese jijini Dar es salaam. By.Peter Mwenda

No comments:

Post a Comment