Mwenyekiti wa Pr Promotion anapenda kuwataarifu kuwa kuanzia sasa Email ya prhabari@gmail.com haitatumika tena kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Kwa sasa itatumika skipopele@yahoo.com ,poleni kwa usumbufu na baada ya siku chake tutatangaza Email nyingine.
No comments:
Post a Comment