Bi. Harusi akiwa katika mambo ya mapambo ndani ya mjengo wa Maznati Saloni muda mfupi kabla ya kwenda kanisani kwa ajili ya pingu za maisha
Baadae Picha ya pamopoja nje ya kanisa Chuo kikuu Baada ya kuvishana pete za Ndoa
Wapambe hawa wamependeza jamani
Picha ya pamoja na wazazi wapande zote mbili.
PR.PRPMOTION INATOA SHUKLANI KWA ATUWENE MBELE KWA KUTUPA RIZIKI YA KUTOAHUDUMA YA KUPIGA PICHA ZA MNATO KATIKA TUKIO HILI KUBWA NA LA KIHISTORIA MUNGU AKUBARIKI MAMA.WENGINE MNAKARIBISHWA BEIZETU NI NAFUU SANA KATIKA PICHA ZA VIDEO NA MNATO!!
ATUWENE MBELE NI NANI JAMANI? MBONA MNAMSHUKURU YEYE KULIKO BWANAHARUSI? HALAFU NA GARI LIMEANDIKWA ATU? YAANI NIMYI MMEMSAHAU BWANAHARUSI MKAKUMBUKA DADA YAKE! PR YENU KIBOKO!
ReplyDeleteTITO