header

nmb

nmb

Friday, June 4, 2010

MISS KILOMBERO NAMBA 2 ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI!!


Mshindi wa pili wa Miss Kilombero, Florah Florence (kulia), akisikiliza maelezo ya maabara ya Tasisi ya Utafiti wa Afya, Ifakara, kutoka kwa Faraj katika kituo hicho. Katikati ni Dr. Edith.picha mdau wetu

No comments:

Post a Comment