WATOTO wamemtoa jasho Rais Jakaya Kikwete kwa kumtwanga maswali 13 ambayo baadhi aliyapangua na mengine yalionesha kumpasua kichwa na kuahidi kuyafanyia kazi likiwemo suala la wanafunzi waliopata mimba kurejeshwa shuleni baada ya kujifungua.
Mwenyewe amesema anawapenda watoto na maswala yao yapo karibu na moyo wake pamoja na serikali anayoiongoza.
Jana Watoto zaidi ya 13 waliwawakilisha wenzao zaidi ya milioni 20 nchini kuzungumza na rais Ikulu na kisha kumuuliza maswali makuu 13 ambayo rais alilazimika kuyajibu na yale yaliyokuwa yakihitaji ufafanuzi zaidi aliwaahidi kufuatilia kwa ukaribu.
Kati ya maswali yaliyompasua kichwa rais ni pamoja na swali lililoulizwa na mtoto Rehema Abasi wa Dar es Salaam aliyemuuliza rais kuwa serikali inampango gani wa kuwawezesha wanafunzi wa kike waliopata mimba shuleni na kujifungua warejeshwe shuleni na kuendelea na masomo kwakuwa ni haki yao ya msingi.
Akijibu swali hilo Rais Kikwete alisema suala hilo ni zito kwenye maamuzi kwakuwa wanaharakati pamoja na serikali wanakinzana katika hoja zao huku wengine wakidai inawezekana kwakuwa ni haki yao na wengine wakidai kufanya hi

No comments:
Post a Comment