header

nmb

nmb

Tuesday, June 22, 2010

Kikao cha askari wa Usalama Barabarani Kanda Maalum ya DSM,kuweka mikakati ya utendaji kazi.





Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania SACP,Mohammed Mpinga hivi karibuni aliandaa mkutano na maofisa wa wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo utendaji bora wa kazi zao za kila siku za kanda hiyo.
Kikao hicho kilichoshirikisha maofisa mbalimbali wa kanda hiyo wakiwemo SSP Balele, ZTO Vitus,ACP Kahatano,SSP Mashimu na RTO wa Temeke.
Baada ya kikao hicho kila mmoja alitoka akiwa ameridhika na utendaji wao kusimamia usalama barabarani katika Jiji la Dar es Salaam.





No comments:

Post a Comment