header

nmb

nmb

Friday, May 14, 2010

UTEPE WAKATWA KCB LEO!!


Mh.Seif Mohamed Khatib Waziri wa Nchi Ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia Muungano (wapili kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi 11 la benki ya Kenya Comarcial Bank (KCB) kati ya matawi 6 yaliyopo jijini lililopo katika jengo la Harambee Plaza Oysterbay jijini Dar es salaam leo, kulia ni Bw.Peter Muthoka Group Chairman wa KCB na kushoto kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya KCB Bw.Edmund Mndolwa.

No comments:

Post a Comment