header

nmb

nmb

Wednesday, May 12, 2010

Spika ndani ya Uturuki..!Ujumbe wa wabunge toka Tanzania ukiongozwa na Spika wa Bunge wa Tanzania Mhe. Samuel Sitta, ukiwa katika mkutano wa pamoja na wenzao wa Bunge la Uturuki pamoja na Spika wa Bunge la Uturuki Mhe. Mhe. Mehmet Ali Sahin kujadili namna ya kuimarisha mahusiano ya mihimili hii Miwili pamoja na kuhamasisha uwekezaji katika sekta mbalimbali za Maendeleo. Spika na Ujumbe wa Wabunge saba upo ziarani Uturuki kwa Mwaliko wa Spika wa chi hiyo.

Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, akipokewa na Mwenyeji wake, Spika wa Bunge la Uturuki Mhe. Mehmet Ali Sahin mara baada ya Kuwasili katika Viwanja vya Bunge la Uturuki Mjini Akara Uturuki leo. Spika na Ujumbe wa Wabunge saba upo ziarani Uturuki kwa Mwaliko wa Spika wa nchi hiyo. (Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge).

No comments:

Post a Comment