header

nmb

nmb

Tuesday, May 4, 2010

SISI SI WAONGO WALA WANAFIKI RAISI HAKUTUTENDEA HAKI!! MGOMO HAKUNA HADI TUTAKAPO TANGAZA TENA"!!


Rais wa Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi TUCTA Ayubu Omary kushoto amezungumza na vyombo vya habari leo na kueleza nia yao ya kusitisha mgomo uliokuwa uanze kesho nchini kote, akizungumza katika ukumbi wa shirika la kazi la Umoja wa Mataifa ILO amesema wanamuamini Mh Rais Jakaya Kikwete na wanaamini kuwa matatizo yao yanaweza kutatuliwa
Hivyo akasema mgomo huo umesitishwa hautakuwepo tena mpaka watakapokutana tarehe 8 Mei kwa majadiliano zaidi na wanaamini kuwa masuala ya mishahara na kodi zinaokatwa kwa wafanyakazi vinaweza kupatiwa ufumbuzi katika kikao hicho.

No comments:

Post a Comment