header

nmb

nmb

Friday, May 21, 2010

KIKAO CHA WASANII WALIOJIUNGA NA KIJIJI CHA VISEGESE KUFANYIKA LAMADA HOTEL KESHO.....!

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasanii nchini (Mwenye Kofia) akikabidhiwa viwanja zaidi ya mia tano na Mwenyekiti wa kijiji cha Visegese hivikaribuni. Wengine katika picha hiyo ni kamati ya SHIWATA na Wazee wa kijiji hicho.

Kikao cha tatu cha wanaShiwata na wasanii waliojiunga na kijiji cha Visegese kinachotalajiwa kujengwa hivi karibuni kitafanyika tena kesho saa 3 asubuhi ktk hotel ya Lamada iliyopo Ilala jijini Dar es salaam. Kijiji hicho kinachotalajiwa kujengwa mithili ya kile cha wasanii wa Marekani cha Hollywood, wasanii wote mliojiunga mnatakiwa kuhudhuria.

HIKI NI PICHA ILIYOPIGWA KWA JUU IKIONYESHA KIJIJI CHA WASANII WA NCHINI MAREKANI.

NASI KWA UMOJA WETU NGUVU ZETU TUNAWEZA KUFANYA MAMBO KAMA HAYA

No comments:

Post a Comment