header

nmb

nmb

Saturday, May 1, 2010

MKOBA AHUTUBIA NA KUSEMA "MSIOGOPE KUGOMA, HAKI MNAYO KISHERIA"

Wafanyakazi kutoka Mashirika na Taasisi mbalimbali na vyama vya wafanyakazi ambavyo havishiriki katika mgomo ulioitishwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) wakiwa kwenye maadamano kuelekea viwanja vya Mnazi mmoja kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa leo kitaifa jijini Dar es salaamMUKOBA
KWA miezi kadhaa sasa, kumekuwepo na mjadala mkali nchini unaohusu maandalizi ya mgomo usiokuwa na kikomo kwa wafanyakazi wa nchi nzima, ambao kwa mujibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakzi Nchini (TUCTA), utaanza mapema mwezi ujao.Kama ilivyotegemewa, taarifa za mgomo huo, ambao wafanyakazi wanataka kuutumia kama silaha yao ya mwisho kudai haki na madai yao ya msingi, zimezua taharuki karibu nchi nzima, kuanzia serikalini mpaka kwa wananchi, maana suala la mgomo wa nchi nzima

No comments:

Post a Comment