header

nmb

nmb

Tuesday, May 11, 2010

MASHINDANO YA KUTUPA VISHALE YAFANYIKA MBEYA!!


Mgeni rasmi,Ofisa michezo wa Jiji la Mbeya akitoa cheti cha usajili wa klabu ya Polisi kwa Katibu wa klabu hiyo,Adelade Chikoma ambaye pia ni mchezaji wa kimataifa wa majeshi,kushoto kwa mgeni rasmi ni Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo,Sylivester Ibrahimu .
PICHA NYINGINE nyingine ni Ofisa Michezo akifungua michezo hiyo kwa kurushwa vishale.

Katika Picha ya pamoja ni wachezaji wa vilabu mbalimbali vya vishale muda mfupi kabla ya kuanza mashindano(PICHA NA THOMPSON MPANJI)

No comments:

Post a Comment