header

nmb

nmb

Saturday, May 22, 2010

AZAM WAATAMBULISHA NGASSA NA CHOVE LEO, KATIKA SHEREHE YA WANAHABARI ILIYOFANYIKA MZIZIMZIMA !!Mwenyekiti wa Azam FC Said Muhammad Said Abeid akimtambulisha mchezaji wao mpya Mrisho Ngasa ambaye wamemsajiri kutoka katika klabu ya Yanga kwa shilingi milioni 58 za kitanzania ambaye amekabidhiwa jezi namba 16 ,Aidha Mwenyekiti huyo alimtambulisha golikipa Jakson Chove kutoa JKT Ruvu kwa kiasi cha shilingi milioni 3, Mrisho Ngasa amesaini mkataba wa miaka mitatu ili kuitumikia klabu hiyo kushoto ni Ibrahim Jesho meneja wa Azam FC, anayefuata ni golikipa Jakson Chove na kushoto mwisho ni Seleman Idd Mjumbe katika timu hiyo.Chove (Kushoto) akiongea na waandishi wa habari
Ndasa akiongea na waandishi wa habari baada wakati wamkutano huo

No comments:

Post a Comment