NAKO SOMALIA
Mapigano Somalia, yawaua watu 19 WATU wapatao 19 wameripotiwa kuuawa nchini Somalia kutokana na mapigano mapya yaliyozuka katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
Iliripotiwa jana kuwa watu 13 kati yao wakiwa ni raia, wamekufa baada ya majeshi ya kulinda amani ya Muungano wa Afrika na yale ya Serikali yalipokabiliana na kikundi cha wapiganaji waliowashambulia wakati wa sherehe za kijeshi.
Iliripotiwa jana kuwa watu 13 kati yao wakiwa ni raia, wamekufa baada ya majeshi ya kulinda amani ya Muungano wa Afrika na yale ya Serikali yalipokabiliana na kikundi cha wapiganaji waliowashambulia wakati wa sherehe za kijeshi.
Duru ziliarifu kuwa wanajeshi wa Muungano wa Afrika, walitumia silaha nzito katika mashambulizi yao katika eneo lenye watu wengi.
Zilieleza kuwa watu wengine sita waliuawa kwenye mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa kando ya barabara karibu na uwanja wa ndege wa Mogadishu.
"Yalikuwa ni mapambano makali," Bw. Ali Muse ambaye ni msimamizi mkuu wa magari ya wagonjwa aliliambia Shirika la Habri la Ufaransa AFP.
"Timu yetu ilikusanya maiti za raia 16 wakati raia wengine 55 walijeruhiwa katika mashambulizi hayo na miongoni mwao waliokufa ni watoto,"alisema.
Alisema kuwa mashambulizi hayo yalianza majira ya jioni baada ya wanamgambo kurusha makombora katika makazi ya rais na uwanja wa ndege wakati wa hafla kuazimisha miaka 50 ya jeshi la nchi hiyo.
Government troops backed by the AU reportedly responded with heavy artillery fire.
At the airport, a blast hit a military vehicle, killing two soldiers, said eyewitness Haji Dahir Igale.
"Afterward local residents and some other government officials rushed to the scene to help the injured and as they gathered the second explosion went off, killing four civilians."
Somalia has not had a functioning government in decades and the Islamist rebels control large parts of its territory.
No comments:
Post a Comment